-
Mambo ya Walawi 13:34Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
34 “Kuhani atakichunguza tena kidonda hicho siku ya saba, na ikiwa kidonda hicho kilicho kichwani na kwenye kidevu hakijaenea au kupenya chini ya ngozi, kuhani anapaswa kutangaza kwamba mtu huyo ni safi, atafua mavazi yake na kuwa safi.
-