-
Mambo ya Walawi 13:43Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
43 Kuhani atamchunguza, na ikiwa kidonda kilicho kwenye upara au paji lake la uso kina uvimbe wenye mchanganyiko wa rangi nyekundu na nyeupe, na ngozi yake inaonekana ni kama ina ukoma,
-