-
Mambo ya Walawi 13:55Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
55 Baada ya kitu hicho kuoshwa kabisa, kuhani atakikagua. Ikiwa doa hilo halijabadilika, hata ikiwa ugonjwa haujaenea, kitu hicho si safi. Mnapaswa kukiteketeza kwa sababu kimeliwa na ukoma, iwe kimeliwa chini au ndani.
-