Mambo ya Walawi 13:57 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 57 Hata hivyo, doa hilo likitokea sehemu nyingine ya vazi au ndani ya mtande au ndani ya mshindio au ndani ya kitu chochote cha ngozi, ugonjwa huo unaenea, nanyi mnapaswa kuteketeza kitu chochote kilichoathiriwa.+
57 Hata hivyo, doa hilo likitokea sehemu nyingine ya vazi au ndani ya mtande au ndani ya mshindio au ndani ya kitu chochote cha ngozi, ugonjwa huo unaenea, nanyi mnapaswa kuteketeza kitu chochote kilichoathiriwa.+