-
Mambo ya Walawi 14:17Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
17 Kisha kuhani atatia kiasi kidogo cha mafuta yaliyobaki kwenye kiganja chake na kupaka ncha ya sikio la kulia la mtu anayejitakasa na kidole gumba cha mkono wake wa kulia na kidole gumba cha mguu wake wa kulia juu ya damu ya dhabihu ya hatia.
-