-
Mambo ya Walawi 15:6Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
6 Mtu yeyote anayeketi kwenye kitu kilichokaliwa na mtu anayetokwa na umajimaji anapaswa kufua mavazi yake na kuoga kwenye maji, naye hatakuwa safi mpaka jioni.
-