-
Mambo ya Walawi 15:8Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
8 Mtu anayetokwa na umajimaji akimtemea mate mtu aliye safi, ni lazima mtu aliyetemewa mate ayafue mavazi yake na kuoga kwenye maji, naye hatakuwa safi mpaka jioni.
-