-
Mambo ya Walawi 15:15Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
15 Kisha kuhani atamtoa ndege mmoja kwa ajili ya dhabihu ya dhambi na ndege wa pili kwa ajili ya dhabihu ya kuteketezwa, naye kuhani atamtolea mtu huyo dhabihu ya kufunika dhambi yake mbele za Yehova ili awe safi kutokana na umajimaji wake.
-