Mambo ya Walawi 22:13 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 13 Lakini binti ya kuhani akiwa mjane au akitalikiwa na hana mtoto, naye arudi nyumbani kwa baba yake alikoishi kabla hajaolewa, anaweza kula kiasi fulani cha chakula cha baba yake;+ lakini mtu yeyote asiye na idhini* hapaswi kula chakula hicho.
13 Lakini binti ya kuhani akiwa mjane au akitalikiwa na hana mtoto, naye arudi nyumbani kwa baba yake alikoishi kabla hajaolewa, anaweza kula kiasi fulani cha chakula cha baba yake;+ lakini mtu yeyote asiye na idhini* hapaswi kula chakula hicho.