-
Mambo ya Walawi 22:23Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
23 Mnaweza kumtoa ng’ombe dume au kondoo mwenye kiungo kimoja kirefu zaidi au kifupi sana kuwa toleo la hiari, lakini hatakubaliwa mkimtoa kuwa dhabihu ya nadhiri.
-