-
Mambo ya Walawi 25:22Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
22 Nanyi mtapanda mbegu mwaka wa nane na kula mavuno ya miaka iliyotangulia mpaka mwaka wa tisa. Mtakula mavuno hayo mpaka mtakapovuna mwaka huo.
-