-
Mambo ya Walawi 25:30Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
30 Lakini ikiwa haitakombolewa katika muda wa mwaka mzima, nyumba hiyo iliyozingirwa na ukuta itakuwa mali ya kudumu ya yule aliyeinunua katika vizazi vyake vyote. Haipaswi kurudishwa wakati wa Mwadhimisho wa Miaka 50.
-