Mambo ya Walawi 25:45 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 45 Pia unaweza kununua watumwa kutoka miongoni mwa wana wa wageni wanaoishi nawe+ na kutoka kati ya watu wa familia zao waliozaliwa katika nchi yenu, nao watakuwa mali yako.
45 Pia unaweza kununua watumwa kutoka miongoni mwa wana wa wageni wanaoishi nawe+ na kutoka kati ya watu wa familia zao waliozaliwa katika nchi yenu, nao watakuwa mali yako.