-
Mambo ya Walawi 25:47Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
47 “‘Lakini ikiwa mgeni au mhamiaji miongoni mwenu amekuwa tajiri na ndugu yako amekuwa maskini kando yake na hivyo analazimika kujiuza kwa mgeni au mhamiaji huyo anayeishi miongoni mwenu, au kwa mtu wa ukoo wa mgeni huyo,
-