-
Hesabu 11:26Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
26 Wawili kati ya wanaume hao walibaki kambini. Mmoja aliitwa Eldadi na mwingine Medadi. Na roho ikaanza kushuka juu yao, kwa maana walikuwa kati ya wale ambao majina yao yalikuwa yameandikwa lakini hawakwenda kwenye hema la mkutano. Basi wakaanza kutenda kama manabii kambini.
-