-
Hesabu 22:24Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
24 Ndipo malaika wa Yehova akasimama kwenye kijia chembamba katikati ya mashamba mawili ya mizabibu, na kulikuwa na ukuta wa mawe upande huu na huu wa kijia hicho.
-