-
Hesabu 35:18Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
18 Ikiwa alimpiga kwa kifaa cha mbao kinachoweza kuua, na mtu huyo akafa, aliyempiga ni muuaji. Lazima muuaji huyo auawe.
-