Hesabu 35:28 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 28 Kwa maana ni lazima muuaji akae katika jiji lake la makimbilio mpaka kuhani mkuu atakapokufa. Lakini baada ya kuhani mkuu kufa, muuaji anaweza kurudi katika ardhi anayomiliki.+ Hesabu Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019 35:28 Mnara wa Mlinzi,11/15/1995, kur. 13-14, 18-19
28 Kwa maana ni lazima muuaji akae katika jiji lake la makimbilio mpaka kuhani mkuu atakapokufa. Lakini baada ya kuhani mkuu kufa, muuaji anaweza kurudi katika ardhi anayomiliki.+