-
Kumbukumbu la Torati 5:31Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
31 Lakini unapaswa kubaki hapa pamoja nami, nami nitakuambia amri zote, masharti, na sheria unazopaswa kuwafundisha na ambazo wanapaswa kushika katika nchi ninayowapa wamiliki.’
-