-
Kumbukumbu la Torati 15:14Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
14 Mpe kwa ukarimu kitu fulani kutoka katika mifugo yako, uwanja wako wa kupuria, na shinikizo lako la mafuta na divai. Unapaswa kumpa kama vile ambavyo Yehova Mungu wako amekubariki.
-