Kumbukumbu la Torati 19:9 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 9 —maadamu mnashika kwa uaminifu amri hii yote ninayowapa leo, kwa kumpenda Yehova Mungu wenu na kutembea daima katika njia zake+—basi mtaongeza majiji mengine matatu zaidi ya hayo matatu.+
9 —maadamu mnashika kwa uaminifu amri hii yote ninayowapa leo, kwa kumpenda Yehova Mungu wenu na kutembea daima katika njia zake+—basi mtaongeza majiji mengine matatu zaidi ya hayo matatu.+