Kumbukumbu la Torati 22:2 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 2 Lakini ikiwa huyo ndugu yako haishi karibu nawe au humjui, unapaswa kumpeleka mnyama huyo nyumbani kwako, naye atakaa nawe mpaka ndugu yako atakapokuja kumtafuta. Kisha utamrudishia mnyama huyo.+
2 Lakini ikiwa huyo ndugu yako haishi karibu nawe au humjui, unapaswa kumpeleka mnyama huyo nyumbani kwako, naye atakaa nawe mpaka ndugu yako atakapokuja kumtafuta. Kisha utamrudishia mnyama huyo.+