24 mnapaswa kuwaleta wote wawili kwenye lango la jiji na kuwaua kwa kuwapiga mawe, mtamuua msichana huyo kwa sababu hakupiga mayowe jijini na mwanamume huyo kwa sababu alimwaibisha mke wa mwanamume mwenzake.+ Kwa hiyo ni lazima mwondoe uovu miongoni mwenu.