Kumbukumbu la Torati 22:26 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 26 lakini msimtendee lolote msichana huyo. Msichana huyo hajatenda dhambi inayostahili kifo. Kisa chake ni sawa na cha mtu anayemshambulia mwenzake na kumuua.+ Kumbukumbu la Torati Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019 22:26 Mnara wa Mlinzi (Funzo),12/2019, uku. 14
26 lakini msimtendee lolote msichana huyo. Msichana huyo hajatenda dhambi inayostahili kifo. Kisa chake ni sawa na cha mtu anayemshambulia mwenzake na kumuua.+