-
Kumbukumbu la Torati 25:11Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
11 “Wanaume wawili wakipigana na mke wa mmoja wao aingilie kati ili kumlinda mume wake asipigwe, naye aunyooshe mkono wake na kumkamata sehemu za siri mwanamume anayepigana na mume wake,
-