-
Kumbukumbu la Torati 26:1Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
26 “Mwishowe mtakapoingia katika nchi ambayo Yehova Mungu wenu anawapa kuwa urithi wenu, nanyi mmeimiliki na mnaishi ndani yake,
-