-
Kumbukumbu la Torati 26:14Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
14 Sikuila nikiomboleza wala kutoa kisehemu chochote nikiwa mchafu au kutoa kisehemu chochote kwa ajili ya wafu. Nimetii sauti ya Yehova Mungu wangu na kufanya mambo yote uliyoniamuru.
-