-
Kumbukumbu la Torati 28:67Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
67 Asubuhi mtasema, ‘Laiti ingekuwa jioni!’ na jioni mtasema, ‘Laiti ingekuwa asubuhi!’ kwa sababu ya woga mtakaohisi mioyoni mwenu na kwa sababu ya mambo ambayo macho yenu yataona.
-