-
Kumbukumbu la Torati 29:21Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
21 Kisha Yehova atamtenga kutoka katika makabila yote ya Waisraeli ili apate msiba kulingana na laana yote ya agano iliyoandikwa katika kitabu hiki cha Sheria.
-