-
Yoshua 8:21Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
21 Yoshua na Waisraeli wote walipoona kwamba wanajeshi waliovizia walikuwa wameliteka jiji na kuona moshi ukipanda kutoka jijini, wakageuka na kuwashambulia wanaume wa Ai.
-