-
Yoshua 13:23Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
23 Na mpaka wa kabila la Rubeni ulikuwa Yordani; na eneo hilo lilikuwa urithi wa kabila la Rubeni kulingana na koo zao, pamoja na miji na vijiji vyake.
-