Waamuzi 1:24 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 24 na wapelelezi hao wakamwona mtu akitoka jijini. Wakamwambia, “Tafadhali tuonyeshe njia ya kuingia jijini, nasi tutakutendea kwa fadhili.”*
24 na wapelelezi hao wakamwona mtu akitoka jijini. Wakamwambia, “Tafadhali tuonyeshe njia ya kuingia jijini, nasi tutakutendea kwa fadhili.”*