Waamuzi 5:28 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 28 Kupitia dirishani mwanamke aliangalia nje,Mama ya Sisera alitazamakupitia viunzi vya dirisha,‘Mbona gari lake la vita limechelewa kuja? Mbona vishindo vya kwato za farasi wake vimechelewa sana?’+
28 Kupitia dirishani mwanamke aliangalia nje,Mama ya Sisera alitazamakupitia viunzi vya dirisha,‘Mbona gari lake la vita limechelewa kuja? Mbona vishindo vya kwato za farasi wake vimechelewa sana?’+