-
Waamuzi 9:37Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
37 Baadaye Gaali akasema, “Tazama! Watu wanashuka kutoka katikati ya nchi, na kikosi kimoja kinakuja kupitia njia ya mti mkubwa wa Meonenimu.”
-