-
Waamuzi 13:11Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
11 Kwa hiyo Manoa akaondoka na kufuatana na mke wake. Akaja kwa mtu huyo na kumuuliza, “Ni wewe uliyezungumza na mke wangu?” naye akajibu: “Ni mimi.”
-