-
Waamuzi 16:19Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
19 Delila akamlaza Samsoni mapajani; akamwita mtu ili amnyoe vile vishungi saba vya nywele zake. Ndipo Delila akaanza kumdhibiti, kwa maana alikuwa akiishiwa na nguvu.
-