Waamuzi 19:8 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 8 Alipoamka asubuhi na mapema siku ya tano ili aende, baba ya msichana huyo akasema, “Tafadhali, kula chakula kidogo ili upate nguvu.”* Nao wakakaa mpaka jioni sana, na wote wawili wakaendelea kula.
8 Alipoamka asubuhi na mapema siku ya tano ili aende, baba ya msichana huyo akasema, “Tafadhali, kula chakula kidogo ili upate nguvu.”* Nao wakakaa mpaka jioni sana, na wote wawili wakaendelea kula.