-
Waamuzi 20:37Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
37 Na wale waliokuwa wakivizia wakatoka haraka na kukimbia kuelekea Gibea. Wakasambaa na kuwaua kwa upanga watu wote waliokuwa jijini.
-