-
Waamuzi 21:24Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
24 Wakati huo Waisraeli wakatawanyika kutoka huko, na kila mmoja akarudi kwa kabila lake na kwa ukoo wake, kila mmoja akarudi katika urithi wake.
-