2 Samweli 9:11 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 11 Ndipo Siba akamwambia mfalme: “Mimi mtumishi wako nitafanya mambo yote ambayo bwana wangu mfalme unaniamuru mimi mtumishi wako nifanye.” Basi Mefiboshethi akawa akila kwenye meza ya Daudi* kama mmoja wa wana wa mfalme.
11 Ndipo Siba akamwambia mfalme: “Mimi mtumishi wako nitafanya mambo yote ambayo bwana wangu mfalme unaniamuru mimi mtumishi wako nifanye.” Basi Mefiboshethi akawa akila kwenye meza ya Daudi* kama mmoja wa wana wa mfalme.