-
2 Samweli 13:9Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
9 Kisha akachukua kikaango na kumpa keki hizo. Lakini Amnoni akakataa kula, akasema: “Waambie watu wote waondoke!” Basi watu wote wakaondoka.
-