-
2 Samweli 14:25Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
25 Sasa katika Israeli yote, hakuna mwanamume yeyote aliyesifiwa kwa sura yake nzuri kama Absalomu. Hakuwa na kasoro yoyote, kuanzia wayo wa mguu mpaka utosi wa kichwa chake.
-