2 Samweli 14:33 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 33 Kwa hiyo Yoabu akaenda kwa mfalme na kumwambia. Kisha akamwita Absalomu, naye akaja kwa mfalme na kuanguka chini kifudifudi, mbele ya mfalme. Kisha mfalme akambusu Absalomu.+
33 Kwa hiyo Yoabu akaenda kwa mfalme na kumwambia. Kisha akamwita Absalomu, naye akaja kwa mfalme na kuanguka chini kifudifudi, mbele ya mfalme. Kisha mfalme akambusu Absalomu.+