2 Samweli 24:9 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 9 Basi Yoabu akampa mfalme idadi ya watu walioandikishwa. Mashujaa wa Israeli waliojihami kwa mapanga walikuwa 800,000, na wanaume wa Yuda walikuwa 500,000.+ 2 Samweli Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019 24:9 Mnara wa Mlinzi,7/15/1992, uku. 5
9 Basi Yoabu akampa mfalme idadi ya watu walioandikishwa. Mashujaa wa Israeli waliojihami kwa mapanga walikuwa 800,000, na wanaume wa Yuda walikuwa 500,000.+