-
1 Wafalme 7:16Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
16 Naye alitumia shaba iliyoyeyushwa kutengeneza vifuniko viwili ambavyo vingewekwa juu ya nguzo hizo. Kifuniko kimoja kilikuwa na urefu wa mikono mitano, na kingine kilikuwa na urefu wa mikono mitano.
-