-
1 Wafalme 13:16Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
16 Lakini akasema: “Siwezi kurudi pamoja nawe wala kukubali mwaliko wako, nami siwezi kula mkate wala kunywa maji pamoja nawe mahali hapa.
-