-
1 Wafalme 20:7Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
7 Ndipo mfalme wa Israeli akawaita wazee wote wa nchi na kuwaambia: “Angalieni, tafadhali, na mjue kwamba mtu huyu anakusudia kuleta msiba, kwa maana alitaka nimpe wake zangu, wanangu, fedha yangu, na dhahabu yangu, nami sikukataa agizo lake.”
-