-
2 Mambo ya Nyakati 29:28Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
28 Na kutaniko lote likainama chini wimbo huo ulipokuwa ukiimbwa na tarumbeta kupigwa—yote hayo yaliendelea mpaka walipomaliza kutoa dhabihu ya kuteketezwa.
-