-
Nehemia 4:15Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
15 Sasa baada ya maadui wetu kusikia kwamba tunajua walichokuwa wakifanya na kwamba Mungu wa kweli alikuwa amevuruga mpango wao, sote tukarudi kuujenga ukuta.
-