-
Zaburi 35:14Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
14 Nilitembea huku na huku nikiomboleza kana kwamba ninamwombolezea rafiki au ndugu yangu;
Niliinama chini kwa huzuni, kama mtu anayemwombolezea mama yake.
-